Get Adobe Flash player

                                                                                  TANGAZO

Uongozi wa Chuo cha Madini Shinyanga Unapenda kutaarifu umma wa Watanzania na wadau wote wa elimu kuwa udahili umesitishwa kwa waombaji wapya kwa mwaka wa masomo 2017/2018,hivyo waombaji wote waliokuwa na matarajio ya kujiunga na Chuo cha Madini shinyanga kwa mwaka wa masomo 2017/2018 wanashauriwa kutuma maombi yao vyuo vingine ili wasikose nafasi ya kudahiriwa kwa mwaka wa masomo 2017/2018.Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Ahsanteni.

Imetolewa na,

Hans Gilliper – Afisa Tawala Chuo cha Madini Shinyanga

Kwa niaba ya Mkuu wa Chuo

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

Coments Box

Subscribe ESIS News

Latest ESIS news in your inbox

Latest Comments