TANGAZO LA AJIRA Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), kinawatangazia wananchi wote wenye sifa nafasi ya ajira ya Mkufunzi wa Sayansi Asilia 01 (Natural Sciences-Tutor). Hivyo wahitimu wote kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi...